Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Nilianza kupata mashaka urafiki wa Nape na Kinana siku ya uchaguzi wa wa wabunge wa Afrika Mashariki kwenye bunge lililoisha, uchaguzi ule tuliufanyia Karimujee, Nape akiwa Mwenezi na Kinana akiwa Katibu Mkuu.
Katika Kura kulikuwa na mchuano mkubwa sana kwa upande wa Akina mama, chaguzi tumepiga kura tlivyomaliza Nape akaingia kwenye chumba cha kuhesabia kura, na kwa Bahati mbaya kulikuwa na mgombea mkwewe Nape anaitwa Mama Mkami.
Nape akawa anahesabu kura kila akishika anataja namba ya Mkwewe, matokeo yanatoka mkwewe wa kwanza, wagombea wakalalamika, Kinana akatuita akatuambia turidie kuhesabu kuona kama kuna ubadhilifu, wakatuita sisi turudie kuhesabu kura, baaada ya kurudia Mama Mkami mkwewe Nape hakuwa hata kwenye 20 bora.
Pia soma: