Kumbukizi: Majibu ya Rais Samia kwa Kikeke alipoulizwa kuhusu katiba mpya

Kwani angejibu Tu kistaarabu kama msomi angepungukiwa nini??

Kwanini ni hakikishe hili, basi niachie mimi na Watanzania tutaelewana
View attachment 3359589
Jaribu kufikiri nchi za wenzetu zina Marais calibre ya Ruto, Museveni, Kagame, Ramaphosa, Hichilema…..

Halaf sisi tuna hii 🚮🚮🚮

Huyu anatoa hoja gani akikutana na hiyo miamba kwenye vikao??? Nchi ya hovyo kweli hii yan

Anyway, NO REFORMS NO ELECTION
 
Viongozi wote ulio wataja wote ni viongozi wa nchi masikini kama Tz sasa sijui huo umwamba unazisaidia nini nchi wanazo ziongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…