Kumbukizi: Mawe ya Heche Bungeni, nimemiss Bunge hili, Sijui kama kuna siku litarejea

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Salaam,

Kuna wakati katika maisha yetu Tanzania Bunge lilikuwa linasikilizika, hoja, zilikuwa zinatengenezwa.

Bongo zetu zilikuwa zinapata madini na kufahamu mambo mengi. Kwa hali za Chaguzi za sasa na namna Wapinzania wanavyogombana wenyewe kwa wenyewe, sijajua kama hali hii itakuja kutokea tena hivi karibuni.

Nakusogezea hii hapa clip kukuonjesha ladha ya kumbukizi.

Your browser is not able to display this video.
 
Hayo yatarudi endapo tu watanzania wataacha kumwachia kila jambo Mungu.

CCM haiwechezei wapinzani bali Watanzania.
 
Wapinzani kwa kupanga hoja wako vizuri sana ila kinachonikera ni kule kuongea kwa kupiga kelele! Kwani ukiongea taratibu hatuwezi kukusikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…