Afadhali na wewe umenisaidia kupaza sauti labda itasaidia abadilike.
Kwa umri alionao
Lucas Mwashambwa ni kitendo cha fedheha kwake na kwa chama chake kuendelea kukaa kwa baba yake.
Hata chumba cha elfu ishirini kinamshinda, hela zote hizo anazolipwa sh 7,000 kwa kila mara akichangia humu.
Mtoto wa kiume mama yako anakuona ukiwa umevaa taulo ukienda kuoga bafuni, mtoto wa kiume huwezi hata kumkaribisha mrembo kwako kisa huna kwako.
Wenzake wamchangie hata mawazo kina
chiembe Tlaatlaah