Kumbukizi: Mwalimu Nyerere alituasa kutoyapa madaraka baadhi ya Makabila tukapuuza, Bila Shaka tumejifunza

Kumbukizi: Mwalimu Nyerere alituasa kutoyapa madaraka baadhi ya Makabila tukapuuza, Bila Shaka tumejifunza

Status
Not open for further replies.

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2020
Posts
9,034
Reaction score
6,913
Moja kwa moja kwenye mada.

Naomba nitoe angalizo kwamba hili sio bandiko la ukabila wala matusi bali ni kumbukizi aliyotuasa mwaliko hapo zamani za kale akiwa hai.

Ndugu zangu hayati mwalimu Nyerere si tu alikuwa baba wa Taifa bali alibeba maoni ya mambo mengi,kwa mfano aliwahi nukuliwa akisema kwamba katiba iliyopo inaweza kumfanya Rais kuwa dikteta hasa tukipata Rais hamnazo,nadhani wote tumeyashuhudia.

Kana kwamba haitoshi alishawahi kuonya kuhusu kuwapa madaraka watu wanaotokea baadhi ya makabila makubwa nchini hususani Wasukuma, Wachaga,Wanyakyusa na Wahaya. Sio kwamba Mwalimu alikuwa ana chuki na hayo makabila,la hasha bali hulka na tabia zao ni hatarishi kwa ustawi wa Nchi.

Kwa uzoefu wangu na kuishi na hawa watu ni jamii za watu wenye majivuno,kujidai,kujifanya wana akili sana kuliko wengine,dharau,wabinafsi na wenye kujipendelea,wafitini na mbaya zaidi ni jamii za watu wanaopenda sifa na kuabudiwa/kulambwa miguu.,maofisini hwa wanajijali wao kwa wao kwa kupendeleana,kwenye usafiri wa umma huwa wanazungumza kilugha bila kujali.Yaani ni jamii zinazojiona ni elite.

Ukiangalia awamu uliyopita chini ya Rais aliyejinasibisha kutoka miongoni mwa makabila niliyoyataja hapo awali ,si tu ilikuwa ya watu makatili bali ilileta mgawanyo mkubwa kwenye nchi kiasi kwamba tunu za Taifa zilitikiswa kwa nyufa za ukanda,ukabila,upendeleo nk.

Bila shaka tumejifunza na tusirudie kosa kama hili tena,siku hizi imezuka dhana kwamba jamii fulani ya kabila eti ina turufu ya kuamua nani awe Rais,tukiendelea kwa mwendo huu huko mbele italeta shida sana.Nafasi za Urais,Makamu wa Rais na ukuu wa taasisi z dola haifai kuongozwa na hawa jamaa maana wanaweza kutumia wingi na ushawishi wao vibaya kwa maslahi yao huku jamii zingine zikiumia.

Nch mbali mbali za Afrika zinateswa na jamii za watu ambao ni dorminant kwenye makabila yao,kwa hiyo ni vyema tuchukue tahadhari na mambo haya ndio yafaa tufundishe watoto wetu ili kuendelea na stability iliyopo.

Leo naishia hapa.
 
Mimi natamani sana ungeweka hata audio ya hayo maneno aliyoyasema kuhusu hayo makabila, ni kama huwa siamini kwamba alitamka hayo maneno. Au kama unaweza lete ushahidi thabiti ili nami nianze kuwaambia watu kuhusu hii issue
 
Pamoja na kutokuwa na ushahidi wa unachokisema lakini kuna swali hapa. Makabila makubwa yanaanzia na watu wangapi? Ili tujue wapi wanafaa na wapi hawafai.
 
Ila ukitafakari kwa makini,mwl.alikuwa sahihi.Kiongozi wa nchi unajenga uwanja wa ndege kwenye shamba la baba yako,kwa kutumia fedha ya walalahoi.Hiyo ni dharau kubwa sana kwa watanzania
 
Ina maana watani wangu wa hehe wakipewa nchi tutakuta wananing'ia mitini tu wamejinyonga kisa wameandikwa kwenye magazeti, hasira hasara nyela wanyalukolo, muse tulonge ludodo. Sie wangoni mkitupa aaargh tutavangisa vadala wee mtaona mimba kila Kona, ndio pinoga yoyoooo, ibesa mau
 
Aliyasema wapi hayo ?

"Tunataka Rais wetu". Kwa Tanzania, haiwezekani ukampata Rais ambaye hana kabila. Utampata wapi?. Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hana kabila. Atakuwa na kabila. Hatuta mkataa mtu kwa sababu ya ukabila wake.

Kumbe tutafanyaje? Lakini, hatutamchagua mtu kwa sababu ya ukabila wake. Hatuwezi kumkataa mtu kwa sababu tunasema 'fulani tunaona anazo sifa za kuweza kuwa kiongozi wetu lakini ah! bwana ni Mkara!

Mkara huyu sifa zote anazo lakini tunasema 'ah! Jamaa ni Mkara', hatutafanya hivyo. Hatutamkataa kwa sababu ya kabila lake. Tukifanya hivyo, tunafanya dhambi kubwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom