Kumbukizi: Naoa next month, naomba usikose kufika harusini

Dah hivi haya mavitu uwa yanatokea kweli eeeee ?

Just Nana pole sana kwa yote ila itoshe kusema mama yako alikuwa mpumbavu sana ila mshua wako ni baba natamani siku moja niwe kama yeye .

Ila na wewe ukitaka kuwa na maisha mazuri acha mara moja kumkubali mwanaume kisa rafiki yako kakupiga vocal utakuja kukutana na kibwengo kikutoe damu.

By then sikushauri kuendelea na Thoby kimawasiliano maana ukweli ni kuwa bado mnapendana utakuja kuvunja ndoa yake .

Lastly japo sio kwa manufaa zaidi vipi hauumi wewe ? Na vipi hatuwezi kutengeneza mingle ?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Umeyatimba, leo kwenye harusi ya tobby nenda ukakajikwae kifaza benadi uharibu keki na meza ya maharusiπŸ˜…
 
Duh aisee....hivi hili kabila lina nini jamani majanga tu
 
Mkuu hako ni kastory bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii imeenda[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Inakuaga tu kwa mind za wazazi kua kabila fulani lipo hivi , lingine vile....nimewakilisha tu wakinamama baadhi wenye hako katabia na vile unavyoweza hata kuharibu future ya binti yako kwa misimamo isiyo na mantiki, yapo kwa familia brooo
Message received!!! Wachaga sio watu
 
Message received!!! Wachaga sio watu
Sio lengo la Uzi brooo...just mindset ya bi mkubwa tuuu, mwandishi angeamua hata kusema wasukumua hukooo[emoji847][emoji847][emoji847]...ila wachaga wanapopolewaga sana sijui kwanini ata
 
Simulizi
1.Naoa next month,
2.Hapa ninavyoongea nipo saloon najiandaa kwenda harusini
Naoa next month...Ni heading my dear( inabeba the whole story kua mwanaume nilidhani atakua mine anaoa na kanialika kwa wedding) ....sio Kama Mimi ndio naoa....Kuna namna nyingi za kuandika story usikariri...anaesimulia ndie aliye saluni( Mimi)....anayeoa Ni huyo bwana Thobias...umanyile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…