Kumbukizi: Naoa next month, naomba usikose kufika harusini

basi usiendelee kusoma, kwani ukiendelea moyo wangu unauchoma,dedicated song
Barua from daz nundaz
 
Kazii ipo unaoa Dem kumbe ana mtu yupo moyoni... [emoji16][emoji16]
Hakuna namna ni ngumu sana kukata chain ya mahusiano ya mapenzi. Ke wengi wanaolewa na watu wasiowapenda kwa sababu kama hizo na uchumi kwahiyo upendo unakuwa nusu..
 
Hao ndugu wapuuzi wenye ubaguzi na ukabila hawafai kuitwa watanzania, ni bora wafutiwe uraia wafukuzwe nchini.

Na elimu hii bado mpaka leo kuna mijitu ina baguana sababu ya ukabila na kuna mingine inafika mbali mpaka ubaguzi wa kidini.

Wajameni tuwaeliminisheni wazaz+ndugu na watoto kuhusu madhara ya ubaguzi na umuhimu wa mshikamano na umoja kijamii.
 
Hakuna namna ni ngumu sana kukata chain ya mahusiano ya mapenzi. Ke wengi wanaolewa na watu wasiowapenda kwa sababu kama hizo na uchumi kwahiyo upendo unakuwa nusu..
Sio poa mzee wangu Mambo wanayotufanyia hawa mabinti so poa kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…