Kumbukizi: Naoa next month, naomba usikose kufika harusini

Ndo wazazi walio wengi na kabila nying zilivyo..... Ko ukishawaelewa sipati shida mim.....
 
Utasikia usioe wahaya sijui wabaguzi...jamaniiiii jamaniiii
 
Halafu ndio ushamuelewa msela wa kihaya dahhh...sio poa bhana
 
Mim nshaambiw uoe mchaga ata sna wasiwas na kuja kupean sitires ukfka muda natafuta manka mmja chapu [emoji16]
Kwaio sie waluguru hututaki unatupotezea tu usichana wetu daaah[emoji847][emoji847][emoji847]
 
Kama kulikua na possibility ya kuachana why hamkufanya hivyo before mpaka msubirie kukata moto kwa bimkubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…