Kumbukizi Video: WW2, Wajapani wakipambana vikali wakitumia (suicide bomber) dhidi ya Marekani kulinda kisiwa chao cha Okinawa , Mei 1945

Kumbukizi Video: WW2, Wajapani wakipambana vikali wakitumia (suicide bomber) dhidi ya Marekani kulinda kisiwa chao cha Okinawa , Mei 1945

Wu-Ma

Senior Member
Joined
Dec 1, 2017
Posts
113
Reaction score
277
Kuelekea mwishoni mwa vita ya pili ya dunia 1945 , vita upande wa Ulaya ni kama ilikuwa imeisha, hata hvyo upande wa Pacific ndo ilikuwa inashuhudiwa pambano kubwa zaidi kuwahi kutokea ,

kisiwa cha Okinawa ambacho ni sehemu ya ardhi ya Japani sasa kilikuwa kinashambuliwa na wamarekani...Japan ilionekana kuzidiwa na kuelemewa , ni dhahiri walikuwa wanafight for survival, huku wakikabiliwa na upungufu wa ndege za kivita pamoja na wapiganaji wazoefu , walibuni mbinu ya mashambulizi Kwa kutumia ndege za kujitoa mhanga Al maarufu kama (Kamikaze suicide bomber)....

Ili kuzishambulia meli za wamarekani zilizokuwa zimejaa kwenye fukwe za kisiwa cha Okinawa Japan....

Pambano hili ndo moja ya sababu ya Marekani kutumia atomic bomb kule Nagasaki na Hiroshima kwani Wajapani hawakuwa tayari kujisalimisha..and such action effectively ending ww2.

 
Back
Top Bottom