Kumbukizi ya kuzaliwa kwangu

Kumbukizi ya kuzaliwa kwangu

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Habari

Ni furaha iliyoje kuiona siku muhimu kama leo, Nawashukuru wazazi wangu
kunilea mpaka hapa nilipo Mungu awabariki na kuwapa siku nyingi za uhai wenu na awape afya njema.

Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuiona siku hii muhimu ya kumbukizi
ya kuzaliwa kwangu furahi pamoja nami siku hii

HAPPY BIRTHDAY TO ME
Ladyfurahia

cake.jpg
 
happiest birthday dadaake
dada mpambanaji asiye na makuu na mtu
 
Hahahaaa... we unakaonaje haka ka ladyfurahia ni kazee hapo ungekisia 45 kwenda juu😂😂😂
hahhaaaaaaaa na wewe umekosea mm niko 50 kwenda juu wote mmekosa zawadi leo hahaaa
 
Back
Top Bottom