figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Freeman Mbowe: "Msifunge ndoa na chama hiki. Tokeni CHADEMA na tafuteni kweli na haki kwenye chama kingine. Nazungumza maneno haya kwasababu ni uendawazimu kufunga ndoa na chama cha siasa." Mwisho wa Kimnukuu
Aliyasema hayo wakati wa ziara yake Washington DMV Nchini Marekani Mwaka 2012.
Aliyasema hayo wakati wa ziara yake Washington DMV Nchini Marekani Mwaka 2012.