Kumbukizi ya Mwanahistoria Profesa Wamba Dia Wamba

Ahsante sana kwa hii…..tuhimize tu maandiko yake yachapishwe ili yawafikie wengi na mitizamo yake ije ichangie kwenye kujenga fikira kwa kizazi kijacho cha Waafrika. Professa Wamba alikuwa kati ya wasomi wenye mitizamo asilia ya kiafrika itakuwa hasara sana kama fikira zake zitapotea pasipo kuchapishwa.

Mungu ailaze pema peponi roho ya Mwanamapinduzi huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…