Mwizukulu wa Buganda
Member
- Nov 19, 2024
- 94
- 307
Mwaka 2009 nisameka, kwani kuna dhambi mtu wa Kigoma kuwa Mwenyekiti wa Chama taifa, kuna dhambi? Nikagombea, hapo ndiyo ilikuwa mwisho wa amani yangu ndani ya chama. Toka mwaka 2009 sina amani katika chama. Sababu haiwezekani kila siku kwenye chama, kundi moja wala halikosei, kundi jingine ndilo linakosea, haiwezekani