Kumbukukumbu ya Sabasaba na Mlimani TV

Kumbukukumbu ya Sabasaba na Mlimani TV

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Skukuu ya 7 / 7🙏 kumbukumbu yangu hii ❤️ Mimi na wewe Mzee wangu Saidi Mohamed😎

Mlimani TV hii ni stesheni ya Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam wameniletea hii clip fupi sana ya kipindi tuliyofanya miaka michache iliyopita.

Mtangazaji wa Mlimani TV Mohamed Shomvi kakumbuka mahojiano yetu.

Nimemuomba kipindi kizima.
Nikikipata In Shaa Allah nitakiweka hapa.


View: https://youtu.be/RYFal3k1t8M?si=Pdfw5wcs72GbHpOw
 
Back
Top Bottom