Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Jul 8, 2024 #1 Skukuu ya 7 / 7🙏 kumbukumbu yangu hii ❤️ Mimi na wewe Mzee wangu Saidi Mohamed😎 Mlimani TV hii ni stesheni ya Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam wameniletea hii clip fupi sana ya kipindi tuliyofanya miaka michache iliyopita. Mtangazaji wa Mlimani TV Mohamed Shomvi kakumbuka mahojiano yetu. Nimemuomba kipindi kizima. Nikikipata In Shaa Allah nitakiweka hapa. View: https://youtu.be/RYFal3k1t8M?si=Pdfw5wcs72GbHpOw
Skukuu ya 7 / 7🙏 kumbukumbu yangu hii ❤️ Mimi na wewe Mzee wangu Saidi Mohamed😎 Mlimani TV hii ni stesheni ya Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam wameniletea hii clip fupi sana ya kipindi tuliyofanya miaka michache iliyopita. Mtangazaji wa Mlimani TV Mohamed Shomvi kakumbuka mahojiano yetu. Nimemuomba kipindi kizima. Nikikipata In Shaa Allah nitakiweka hapa. View: https://youtu.be/RYFal3k1t8M?si=Pdfw5wcs72GbHpOw