Kumbukumbu ipi ya mlevi kila ukiikumbuka unabaki kucheka??

Kumbukumbu ipi ya mlevi kila ukiikumbuka unabaki kucheka??

St Lunatics

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
6,644
Reaction score
11,174
Nakumbuka wakati wa Bia ya Bigwa ndio kwanza inatoka kuna shombeshombe mmoja alikunywa kama bia mbili tu. Jamaa hakuweza kutembea basi rafiki zake wakambeba na kumuingiza kwenye Taxi, Yule dereva wa taxi akawauliza mnaelekea wapi. Duh yule shombeshombe si akaanza kutapika mule ndani ya taxi,😱😵 Haikuchukuwa hata dakika akaanza kutokwa na haja kubwa akiwa ndani ya taxi.😀 Yule dereva alibaki kutukana pale😡 na kutaka alipwe hela nyingi zaidi.
 
Bia ya bingwa ilikua na maskendo sana...hamuachi mtu bure ile
 
Aisee bora vile bia ya Bingwa iliondolewa sokoni,

Yaani ukiipiga kizembe jua imekula kwako.

Wakati huo mzee mmoja alizipiga mbili akashindwa kutembea, kutokana na mvua kunyesha na yeye amelala barabarani kwa kushindwa kutembea, maji yaliingia puani na ndo ukawa mwisho wa uhai wake.
 
Back
Top Bottom