pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Mzee,Leo naona ukituharibia hewa humu ndani..tafadhali usiile mihogo ya sumu pamoja na maharagwe..io ni Kama bomu la MOAB..tafadhali mzee karumanziraIn case you don't know
Umempa moja kubwa nzito πππIn case you don't know
Viongozi wa ngazi za juu serikalini(jamaa wa kutembea na mkasi) wametua kijijini na msafara wa magari mengiii ili wakate utepe. Kwenye 'uzinduzi' wa mbegu za maharagwe. πWhat is going on here?? π