Yaani kutokana na historia kuwa muhimu maishani kumbe simba wazee wa fifa fc walishaweka mpira kwapani kama mara tatu nne hivi tangu kuanzishwa mara wanapocheza na Yanga mabingwa mara nyingi na waliowafunga mara nyingi simba fc mikia oyee.kesho tu wasije weka mpira kwapani au kung'oa zege la viti pale uhuru