Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namfananisha Katibu mkuu Mashinji na aliyewahi kuwa katibu mkuu wa ccm Wilson Mkama. Ccm walijiwahi wakamchomoa mkama, chadema bila shaka wanasubiri democrasia ifuate mkondo wake
Comments za namna hii kwa age yako ni aibu kubwa sana, uwazalo liwe utasubiri sana hadi mauti yatakufika bado halijawaMashinji ni Daktari wa Vichaa alipaswa awe anatibu Makarai maana vyuma vimekaza mpaka Mbwa wanang'ata mabos wao kwa kuwa madishi yameyumba sio kwa Binadamu tu Bali hata kwa wanyama