Kumbukumbu: NCCR CCM Wapigana ngumi kariakoo

Course Coordinator

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2019
Posts
1,738
Reaction score
3,236
Kama gazeti letu lilivyoandika
Wakati wa uchaguzi 1995.
Watu wenye mahaba na wagombea wao walikuwa wanawatetea kinagaubaga...walikuwa wanawatetea mbwai kwa mbwai hakuna kulemba.
Sasa hizi CCM inatetewa na dola badala ya kujenga hoja wanalipua mabomu na kupiga watu mawe .
 
Wakati huo kikiwa chama cha upinzani kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…