Kumbukumbu taifa stars

Gavana

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2008
Posts
33,637
Reaction score
8,947
Taifa Stars
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]



Hapa Rais Jafar el Niameiri wa Sudan akisalimiana na Omar
Zimbwe huku Mohamed Chuma (kushoto) na nahodha
Abdulrahmani wakishuhudia. Nyuma yao ni Kitwana Manara 'popat'
na Abdallah King Kibaden Mputa.
Walicheza vifua wazi na Sudan baada ya kukosekana jezi.
Mwalimu Nyerere aliyehudhuria mechi hii na mgeni wake hakuonekana tena mpirani toka siku hiyo....


[/FONT]
 
Nini kilichosababisha wakakosa jezi?
Waliingia uwanjani na jezi nyeupe.; kwa vile Sudan nayo ilikuwa na jezi nyeupe, ilibidi Taifa Stars ambao walikuwa wenyeji wa mchezo ule wabadilishe. Sasa kwa vile stars ilikuwa na jezi pea moja tu ikabidi wacheze vifua wazi.
 
Nimeiona kwa Michuzi Blog yeye anadai fulana zilipelekwa kwa mganga walipoenda kuzifuata wakamkosa mganga na kwa kuwa muda ulikuwa umeshafika wa mechi kuanza ikabidi wa cheze vifua wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…