Kumbukumbu : Uso kwa Uso na Simba.

issawemamst: 21135680 said:
kwahyo hnatumia interval ya mda gani kwa sehemu moja mpka nyingine
I have done. Hakuna tena cha Kusubiria.
 
Sasa,mbona inaonekana wewe ulikuwa muoga kuliko wenzio.Yaani pamoja na kutiwa moyo na yule Mzee bado wewe hukupata ujasiri?.Unahisi kile cheo ulichopewa cha kuwa mkuu wa msafara ulistahili?
 
Sasa,mbona inaonekana wewe ulikuwa muoga kuliko wenzio.Yaani pamoja na kutiwa moyo na yule Mzee bado wewe hukupata ujasiri?.Unahisi kile cheo ulichopewa cha kuwa mkuu wa msafara ulistahili?
Mkuu, acha kabisa kusikia. Siku moja utakapokutana naye ndiyo utajua. Cheo sikukiomba bali nilipewa tu na Mzee kwa utashi wake. Mimi ni jasiri, nilisonga mbele.

Ingelikuwa ni muoga, ningelikuwa na uwezo wa kuwarudisha wenzangu mpaka wakati mwingine.
 
Aisee hapo shindwa kabisa.Nikikutana naye nakufa, kalba sijajua kusudio lake.Unahisi morali ile bado unayo,au ushakuwa kama mbwa koko
 
Aisee hapo shindwa kabisa.Nikikutana naye nakufa, kalba sijajua kusudio lake.Unahisi morali ile bado unayo,au ushakuwa kama mbwa koko
Duuh! Mkuu hiyo ni kweli, inahitaji ujasiri sana Kumfata Simba llive.

Jasiri haachi asili, ila kwenda kukimbizana Simba sasa hivi? Hapana kabisa Mkuu.
 
Hongera kwa kuweza kua wa kwanza kumchoma mkuki mfalme wa pori
 
Hongera kwa kuweza kua wa kwanza kumchoma mkuki mfalme wa pori
Hakika Mkuu. Shukrani sana. Mpaka leo huwa najiuliza ile nguvu nilipata wapi?

Hata hivyo, na-appriciate zaidi majukumu aliyefanya mwenzangu. Hakika ni kazi nzito.
 
Duh hapo lazima upewe hongera. Si ulipewa mke kabisa maana huo ni ushujaa
 
Kabla sijakupongeza napenda kujua, kwa sasa wewe ni mwanaume wa Dar au bado wa mikoani?
 
hongera mkuu, story yako iandalie hati milki kuna waandishi makanjanja wataiiba wadai wao ndio walikuwa wa kwanza kurusha mkuki.
Hahaha, ahsante sana Mkuu.

Hawawezi kuchukua. Hata wakichukua story, the reality will still last in me..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…