Kumbukumbu : Uso kwa Uso na Simba.

Mimi Nina shida moja humu JF,hadithi kama hii nikija kuitafuta baadae siikuti,sijaelewa jinsi ya kutafuta thread za nyuma
Juu kabisa kwenye kichwa cha habari cha thread kuna kaalama ka tiki... Kaguse hako, utakua umeisevu thread nzima
 
Finally! Yaani kama nakuona Compact na ngao yako na mkuki pembeni umesimama na balance fulani tayari kwa mashambulizi... Na kijasho chembambaaaa kinatiririka kichwani [emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera sana mkuu
 
Hofu tupu Mkuu. Inaogopesha sana. Acha tu Mkuu. Yakheri ufumaniwe kuliko kumfata Simba live live ukiwa na nia ya Kumuua. Yale macho yake yakikuangalia unaweza kudondoka kwa hofu.
 
Internal observer pia nilikuwepo katika kusoma hii.
Hongera,morani wanaongoza kwa kuwa na ujasiri. At least umegundua kwamba mwenzio alifanya kitu kikubwa. wengine wangeanza kujisifu wao moja kwa moja.
That's team work by the way..
Tusiache kumshukuru Mungu kila siku maishani mwetu.
Hongera international observer.
 
Hahahahahahahq!.

Hivi Internal Observer, who won the battle? Mimi walinifukuza nchini kwenu baada ya kutoa views zenye mlengo wa kumponda mgombea mmoja.

Thank you so much. Natambua sana kazi aliyofanya mwenzangu.
 
nilisikiaga kwamba ukikutana nae usikimbie una tulia kama hujamuona ni kwel
Simba gani huyo? Labda Simba asiye na njaa. Au uwe na mifugo karibu. Atawachakarikia wao na kukuacha wewe.
 
Hongera mkuu,kumbe kuna taratibu huwa zinatumika mi nlidhani mnajiendea tu kiholela ila yule mzee nae yupo makini sana yan uwezo wa kuona nyota yako ya hyo siku na ikawa kweli nmempa salute!
 
Hahahahahahahq!.

Hivi Internal Observer, who won the battle? Mimi walinifukuza nchini kwenu baada ya kutoa views zenye mlengo wa kumponda mgombea mmoja.

Thank you so much. Natambua sana kazi aliyofanya mwenzangu.
Saint Ivuga buana alibeba mtoto mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…