KUMBUKUMBU YA KITABU CHA MAISHA YA JULIUS NYERERE

KUMBUKUMBU YA KITABU CHA MAISHA YA JULIUS NYERERE

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
WASIFU WA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE

Ndugu Mohamed,
Salaam kutoka Dar es Salaam. Tunatumai uko mzima.

Tuna furaha kukujulisha kuwa kile kitabu cha wasifu wa Mwalimu Nyerere tulokuwa tunakiandika sasa kimeshachapishwa.

Ndugu Mohamed, ulitoa mchango muhimu kwenye mchakato wa utafiti, na hivyo tuna furaha kubwa kukutunukia nakala ya kitabu.

Ikiwa utapenda kukifuata kitabu kupitia kijana wako hapo TPH mtaa wa Samora, unaweza kufanya hivyo.

La sivyo, tunaomba anuani ya kukutumia nakala yako.

Tunatoa shukrani zetu tena na kukutakia kila la kheri.

Prof Issa Shivji
Prof Saida Yahya-Othman
Dr Ng’wanza Kamata

''Ndugu yangu wameisifu sana maktaba yako. Mlikuwa watatu wenye maktaba nzuri iliyopangika wewe marehemu Hashim Mbita na Salim Ahmed Salim.''

Dr. Hassan Mshinda

Nimepokea leo Wasifu (Biography)ya Julius Nyerere kutoka kwa waandishi Issa G. Shivji, Saida Yahya-Othman na Ng'wanza Kamata kama shukurani yao kwangu kwa kusaidia katika utafiti.

Taarifa nilizonazo ni kuwa kitabu bado hakijaanza kuuzwa.

20210506_191037.jpg
 
Back
Top Bottom