Asanteni sana Wapwaz na Binamz kwa kuungana nasi katika kumkumbuka baba yetu, mimi na ndugu zangu tumefarijika sana!
Mungu awabariki.
Amina.
PDiddy bahati mbaya siwezi kujibu swali lako hadharani kwani si baba yangu peke yangu! Nisamehe na thanks for the compliment!