Kumbukumbu ya wazee wetu

Kumbukumbu ya wazee wetu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1568690330227.jpeg
 
Wakati hui viongozi walikuwa wanaheshimiana sana! Ilikuwa huwezi kumsikia Mwl anaongea hadharani kwamba atamchapa viboko shangazi wa waziri wake CD Msuya! Wala kutamka kuwa kamwita waziri fulani pumbavu!

Pamoja na viraka vyetu tulikuwa tunapendana sana Watanzania!

Leo hii tunanafikiana tu, hakuna upendo wala uzalendo!
 
Hapo nimemtambua JK Nyerere na Mzee Msuya huo mwingine sijamjua
 
Kipindi nchi ina heshima na adabu,TISS yake nayo ilikuwa imetulia na hakuna aliyepigwa risasi ,kutekwa(kisa tofauti za kiitikadi)awamu ya kwanza wengi ilitumia semi house arrest kama adhabu ila washukiwa waliishi na familia zao,na wapendwa wao.
 
Inawezekana unapotosaha umma "TISS" rejea kumbukumbu zako
 
Hapo nimemtambua JK Nyerere na Mzee Msuya huo mwingine sijamjua

..Raisi na Mwenyekiti wa CCM Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

..Makamu wa Raisi, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Raisi wa Zanzibar, na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Alhaji Aboud Jumbe Mwinyi.

..Waziri Mkuu Cleopa David Msuya.
 
Mwambieni huyo muheshimiwa sana ya kuwa,mambo haya bila ya wazee hayaendi.
Nalog off
 
Back
Top Bottom