Hah haaaaa haaàMbona Nyerere anaonekana ameificha (hirizi) fimbo yake nyuma ya mgongo??🤣🤣
Kumbe!Aboud Jumbe
Inawezekana unapotosaha umma "TISS" rejea kumbukumbu zakoKipindi nchi ina heshima na adabu,TISS yake nayo ilikuwa imetulia na hakuna aliyepigwa risasi ,kutekwa(kisa tofauti za kiitikadi)awamu ya kwanza wengi ilitumia semi house arrest kama adhabu ila washukiwa waliishi na familia zao,na wapendwa wao.
Hapo nimemtambua JK Nyerere na Mzee Msuya huo mwingine sijamjua