Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Hapo chini kuna "Memories" post niliyoandika baada ya kutoka kumbukumbu za Rais Ali Hassan Mwinyi.
Ukiwa umesoma kitabu cha Mzee Mwinyi na ukawa umesoma kitabu cha Abdul Sykes (1998) utaona kuna mambo muhimu na mazito yamepishana kwa kiasi kikubwa.
Nilipata kumpa kitabu hicho Mzee Mwinyi nikiwa na nia akisome na ajue mchango wa Waislam katika kupambana na wakoloni kuanzia enzi za Vita Vya Maji Maji 1905.
Niliamini kitabu changu kitamsaidia kutambua kwa haraka ile, "Kwa nini leo yamekuwa haya."
Picha yangu hiyo hapo chini nikimkabidhi Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi kitabu cha Abdul Sykes.