Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Mimi mkuu nimemuelewa in another angle, mtoa hoja labda anaona historia ya ukombozi wa nchi yetu inaongelea zaidi watu wa aina moja ya dini na sio wa pande zote, na ni kweli ukombozi wa nchi hawakuangalia dini au Imani zao kipindi cha mapambano, naona ni vema tukamjibu mtoa hoja hii kwa facts ili naye kama ni ujinga ajifunze na kuelewa ukweli, to discard his opinions ni kutomtendea hakiHv mbona unalilia huo mchango wa Waislamu kama vile wakristu walishawahi jitangaza wao ndio wamepigania uhuru. Kipindi watu wanadai uhuru hawakudai kama Waislamu bali Waafrika weusi.
Mzee wangu kushikilia dini kama kigeuza cha uafrika ni upotovu hizo dini zote zimetuchukua utumwani
Ed...Hv mbona unalilia huo mchango wa Waislamu kama vile wakristu walishawahi jitangaza wao ndio wamepigania uhuru. Kipindi watu wanadai uhuru hawakudai kama Waislamu bali Waafrika weusi.
Mzee wangu kushikilia dini kama kigeuza cha uafrika ni upotovu hizo dini zote zimetuchukua utumwani
Nkanini,Mimi mkuu nimemuelewa in another angle, mtoa hoja labda anaona historia ya ukombozi wa nchi yetu inaongelea zaidi watu wa aina moja ya dini na sio wa pande zote, na ni kweli ukombozi wa nchi hawakuangalia dini au Imani zao kipindi cha mapambano, naona ni vema tukamjibu mtoa hoja hii kwa facts ili naye kama ni ujinga ajifunze na kuelewa ukweli, to discard his opinions ni kutomtendea haki
Watu wa aina gani aise zaidi ya watu Waafrika hamna sehemu watu wamesema kanisa lilitumika kudai uhuru. Kushikilia dini kuwa kigezo cha ukombozi wa Mwafrika ni ujinga mkuu. Shule tulisoma vuguvugu la uhuru lilitokana na vita ya pili Waafrika walipoenda pigana bega kwa bega na wazungu wakagundua wazungu ni watu wa kawaida. Kingine elimu na kujitambua kama Waafrika weusi. Hao wanaoitwa wazee wa Kiislamu hawakwenda kudai uhuru kama Waarabu bali Waafrika. Narudia tena dini zote zilitesa Waafrika kujitambulisha kupitia dini za kigeni ni kuchanganyikiwa kabisaMimi mkuu nimemuelewa in another angle, mtoa hoja labda anaona historia ya ukombozi wa nchi yetu inaongelea zaidi watu wa aina moja ya dini na sio wa pande zote, na ni kweli ukombozi wa nchi hawakuangalia dini au Imani zao kipindi cha mapambano, naona ni vema tukamjibu mtoa hoja hii kwa facts ili naye kama ni ujinga ajifunze na kuelewa ukweli, to discard his opinions ni kutomtendea haki
Sawa mkuu nimekosoma na kujitahidi kukuelewa, ila kwa sababu ume generalize kwa waafrika wote kuhusu madai ya uhuru tukubaliane kwa facts hii kuwa HUWEZI kutenganisha DINI na mapambano ya UHURU, na sisi Tanzania sio kisiwa, Dini na Imani zetu zimechangia mno katika harakati za uhuru wetu, tusiendelee kufukia vichwa vyetu mchangani wakati ukweli upo wazi, ni vema hoja hii Ije na FACTS kuwa mchango wa Dini zote na Imani zetu zilikuwa sehemu ya mapambano na we must knowledge this equally, kama hili LIMEFANYIKA tuliweke hapa ili sisi WAJINGA tujifunze, binafsi labda ni mmoja wa wajinga ILA SIO MPUMBAVU.Watu wa aina gani aise zaidi ya watu Waafrika hamna sehemu watu wamesema kanisa lilitumika kudai uhuru. Kushikilia dini kuwa kigezo cha ukombozi wa Mwafrika ni ujinga mkuu. Shule tulisoma vuguvugu la uhuru lilitokana na vita ya pili Waafrika walipoenda pigana bega kwa bega na wazungu wakagundua wazungu ni watu wa kawaida. Kingine elimu na kujitambua kama Waafrika weusi. Hao wanaoitwa wazee wa Kiislamu hawakwenda kudai uhuru kama Waarabu bali Waafrika. Narudia tena dini zote zilitesa Waafrika kujitambulisha kupitia dini za kigeni ni kuchanganyikiwa kabisa
Haya Tanzanganyika Waislamu ndio walileta uhuruSawa mkuu nimekosoma na kujitahidi kukuelewa, ila kwa sababu ume generalize kwa waafrika wote kuhusu madai ya uhuru tukubaliane kwa facts hii kuwa HUWEZI kutenganisha DINI na mapambano ya UHURU, na sisi Tanzania sio kisiwa, Dini na Imani zetu zimechangia mno katika harakati za uhuru wetu, tusiendelee kufukia vichwa vyetu mchangani wakati ukweli upo wazi, ni vema hoja hii Ije na FACTS kuwa mchango wa Dini zote na Imani zetu zilikuwa sehemu ya mapambano na we must knowledge this equally, kama hili LIMEFANYIKA tuliweke hapa ili sisi WAJINGA tujifunze, binafsi labda ni mmoja wa wajinga ILA SIO MPUMBAVU.
Sasa huu ni upumbavu, hii ni hoja ya kujadili why unahamaki kama una facts?,Nkanini ni muumini wa mizimu sio mkiristo au Islam, kama huwezi kujadili ni haki yako ila next time please apply your mind kabla ya kuchangia hoja,mada zingine zipite tu kama huwezi changiaHaya Tanzanganyika Waislamu ndio walileta uhuru
Si tumekubali kuwa Tanganyika uhuru ulidaiwa na kuletwa na waislamuSasa huu ni upumbavu, hii ni hoja ya kujadili why unahamaki kama una facts?,Nkanini ni muumini wa mizimu sio mkiristo au Islam, kama huwezi kujadili ni haki yako ila next time please apply your mind kabla ya kuchangia hoja,mada zingine zipite tu kama huwezi changia
Ed...Watu wa aina gani aise zaidi ya watu Waafrika hamna sehemu watu wamesema kanisa lilitumika kudai uhuru. Kushikilia dini kuwa kigezo cha ukombozi wa Mwafrika ni ujinga mkuu. Shule tulisoma vuguvugu la uhuru lilitokana na vita ya pili Waafrika walipoenda pigana bega kwa bega na wazungu wakagundua wazungu ni watu wa kawaida. Kingine elimu na kujitambua kama Waafrika weusi. Hao wanaoitwa wazee wa Kiislamu hawakwenda kudai uhuru kama Waarabu bali Waafrika. Narudia tena dini zote zilitesa Waafrika kujitambulisha kupitia dini za kigeni ni kuchanganyikiwa kabisa
Wewe ni chawa wa familia ya kina Sykes overEd...
Naona tunapishana katika lile ambalo mimi nalieleza na nimeandika vitabu kadhaa katika historia hii.
Sababu ya mimi kuandika kitabu cha Abdul Sykes ni kule kugundua kuwa waandishi wetu hapa nchini hawakuwa ama wanaijua historia ya TANU na walipoandika waliandika historia siyo au walifanya hivyo kwa maelekezo maalum.
Mfano Temu na Kimambo (1969), Abubakar Olotu (1971) Chuo Cha CCM Kivukoni (1981).
Nimemlaumu John Iliffe kwa hili na kumtia katika kundi hilo hapo juu na alihamaki sana kupitia ''review '' yake ya kitabu cha Abdul Sykes iliyochapwa katika Cambridge Journal of African History.
Vitabu hivi vyote vimekwepa kuandika historia ya baadhi ya wazalendo Waislam waliokuwa mstari wa mbele na Julius Nyerere.
Katika vitabu hivyo hukuti historia hii ambayo mimi nakusomesheni hapa.
Imetokea kuwa wazee wangu mimi ndiyo waliounda TANU kwa hiyo naijua historia yangu.
Inachekesha kupita kiasi kuwa mtafiti atatafiti historia ya TANU asimtaje Sheikh Hassan bin Ameir, Mshume Kiyate, Sheikh Suleiman Takadir, Raadhani Mashado Plantan, Bi. Tatu bint Mzee kwa kuwataja wachache.
Hii ndiyo sababu ya mimi kuandika kusahihisha historia ya TANU iliyokuwa siyo.
Hii ndiyo sababu leo Watanzania wanaisoma upya historia yao.
Ama hili la dini wala si jambo la kutushughulisha kama nilivyokueleza kuwa ni jambo binafsi una uhuru wa kufuata dini yoyote au hata kuwa Pagani huamini Mungu kabisa.
Mimi Muislam na ''sijachanganyikiwa.''
Hata wale maadui zangu wakubwa wasionipenda hawajapatapo kuwa na wasiwasi kuhusu akili yangu.
Nina akili timam.
Hapo chini ni kitabu changu cha hivi karibuni.
Smart,Inapendeza sana...
Mdukuzi,Wewe ni chawa wa familia ya kina Sykes over
Wewe Mzee angalia ulivyo MNAFIKIEd...