Aliyekwambia kwamba zamani kulikuwa na teknolojia ya chini kabisa kakudanganya tena sana,zamani ilitisha kuliko leo uelewe hiloHizi pyramids huwa zinanipa maswali sana.
Kipindi wanajenga hizi pyramids technology ilikuwa bado ipo chini sana sasa huwa nawaza kuhusu haya mawe waliyapandisha vp kule juu[emoji849].
Jiwe moja inasadikika lina kilo 3000+
Labda niulize wakuu hizi pyramids zina urefu wa meter ngapi kwenda juu