Huyo ndege wa katikati aliyezungushiwa ana miguu minne, hayupo tena ulimwenguni wala jamii yakeRemains of the original blue color in the Pyramid of Unas ♡View attachment 2273995
Yaap kabisa. Kama hapo juu wanasema kuna Mfalme alitawala miaka elfu 28 na halafu ni Immortal yaani hafi [emoji23]Nahisigi mengine huwa wanatunga ili wapige hela za kitalii tu! Dunia kwa jicho lengine imekaa kitapelitapeli sana..[emoji23]
Itapendeza kama tutapata tafsiri ya hayo maandishi toka kwa Egyptologist mmoja.Remains of the original blue color in the Pyramid of Unas ♡View attachment 2273995