Hii MENU inapatikana hotel gani mzee! Kila siku naenda jioni na chenji siulizii
[emoji2959][emoji2959][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sorry wrongly posted
Hii walimaanisha nini mkuuUnaporudisha mimea yako kwenye kituo cha bustani na kulalamika kwa sababu imekufa...Msaidizi aliyechoka (ambaye amesikia yote hapo awali) hukagua risiti yako huku akikutazama kwa lawama. anajua imekufa kwa sababu hukuweza kuitunza ipasavyo.[emoji15]
View attachment 2411541