Uchaguzi 2020 Kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais ni kuikabidhi Tanzania kwa Mabeberu. Tusifanye kosa twende na John Pombe Magufuli

Kabisa Mkuu hii ni opportunity kubwa sana ya Watanzania kuwakataa hawa wa Genge la wahuni, wezi, mafisadi na wauaji na KUKIZIKA hiki chama kipotee kabisa katika anga za siasa Nchini.

Tumechoka kuongozwa na mbaguzi, muda wote kuonea watu.lissu kura za ukoo wangu wote nampa
 
Bora tuwape nchi mabeberu, kuna siku tutayachinja tule nyama!
 
Naona taarabu zinabadilika Lumumba kila baada ya hatua 1 ya kamanda TAL.
 
Mabeberu hata Leo kwa magu wakitaka chochote wanafanya walimuondoa gadafi sembuse na huku wee vp
 
Hivi kwa nn lisu wanamuogopa sana nakumbuka jk alikuwa anamuogopa asishinde hata ubunge alisema ni bora lipumba awe rais lakini lisu wasimpe ubunge
 
Ikisimama panda
 
JPM hana mpinzani.









Nyie mliokimbilia USA haiwahusu, mnaona wivu Tanzania ya sasa ina-waka waka ... ..... ..... ..

 
Hivi kwa nn lisu wanamuogopa sana nakumbuka jk alikuwa anamuogopa asishinde hata ubunge alisema ni bora lipumba awe rais lakini lisu wasimpe ubunge
Ukimchukia mtu anayekuzidi uwezo wa kichwa . Hakukufanyi wewe kuwa na akili. Lissu yuko smart labda figisu .
 
Mitano kwa Jiwe INATOSHA.

Kwa miaka hii mitano tu, zaidi ya trilioni 2.5 HAZIJULIKANI ZILIPO. Pesa hizo ni zaidi ya wizi wote uliofanyika kwa awamu zote tangu tulipopata uhuru, ujasiri wa kupamba na kusifu MHALIFU wa kiwango hicho unautoa wapi Mkuu?
 
Hofu imewajaa tayari!
 
Walioiingiza nchi hii chaka la mikataba mibovu ndiyo vibaraka not Lissu . Hili mnalijua halafu mnajifanya kutoona ukweli .

Ccm, ni afadhali hao unaowaita mabeberu kuliko wauaji na watesaji wa WaTz .

..Jpm alidhihirisha ukibaraka wake alipokubali kuwasamehe Barrick/Accacia deni la usd 191 billion.

..amewasamehe usd 191 billion na badala yake amekubali kishika uchumba cha usd 300 million.

..zaidi ametumia matrilioni ya fedha za walipa kodi wa Tz kwenda kununua ndege toka makampuni ya mabeberu.

..badala ya kujenga viwanda hapa Tz yeye anakwenda kunufaisha viwanda vya kutengeza ndege vya mabeberu.

..jiulize matrilion aliyotumia kununua ndege yangejenga viwanda vingapi hapa Tz?
 
Mtaji aliobakia nao kwa sasa ni kupata kura za huruma kwa risasi zilizompta

Pia system haiwezi kukabidhi nchi kwa mtu anayetetea mapenzi ya jinsia moja na msaliti,

uuzi
Sehemu salama uliyotakiwa kuwepo ni mirembe tena chini ya uangalizi maalumu!
Andiko la kipumbavu na umbea wa kike kama lilivyo jina lako.
Wewe ndie msemaji wa 'system'? nakushauri uwe unakaa kimya kuliko kuonyesha hadharani namna ulivyo mpuuzi

.
 
Rubbish of its kind
 
Mkuu watanzania tunachokitaka ni maisha mazuri na Uhuru wetu.Hiyo reli ya Kati unayoiona wakati huo inajengwa it was new technology to us same way ilivyo kwa SGR,lakini mkoloni alisepa,Huo ushamba wenu wa vitu pelekeni karomije,Kama beberu anaweza kutupa maisha mazuri na Uhuru wetu why not?Tena ningekuwa napanda kwenye majukwaa ningewaonesha watanzania Mambo makubwa yanayofanywa na beberu hadi hivi tunavyoongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…