Uchaguzi 2020 Kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais ni kuikabidhi Tanzania kwa Mabeberu. Tusifanye kosa twende na John Pombe Magufuli

Mimi mwenywe hapa village kwangu ni beberu. Wewe na hao wenzio kama ni majike semeni tuje huko mliko.
 
Hizi ndizo nyuzi wanazozitaka mods kwa sasa, utaona sinakuwe juu hata mwezi
 
Jisemee ww tulio wengi tunaenda TL
 
Miaka 3 yuko kitandani hafanyi siasa,kashindwa kupotea.Apotee now makamo mwenyekiti CHADEMA?
 
Hatutaki mtu anayetetea Lesbians ,arudi hukohuko alipokuwa
Utakuwa u miongoni mwa wajinga! Zipo taarifa za kiutafiti kwamba katika kipindi cha kuanzia mwishoni mwa 2015 hadi mwaka jana kumekuwepo na ongezeko kubwa la wajinga! CHANZO: EATV
 
Anafaa, hafai, hana uwezo nataka mabadiliko.
One democratic party ruling for 60 years dah total Bullshit
 
Hatutaki mtu anayetetea Lesbians ,arudi hukohuko alipokuwa
Yaani namchukia mtu yeyote anayeisema serekali kinyume. Hao kina James na wenzake tulio nao leo tuseme waliletwa humu na huyo Lissu?? Acheni kuonesha ati serekali yetu haifanyi kazi atii. Nenda Zenji ukajichagulie shoga mchana peupe, nenda Tanga au ukitaka Shamba fresh nenda Tukuyu sasa hao wameletwa huku na Lissu?? Mnyonge tumnyonge lakini haki apewe. Leta mziki mwingine sio huu
 
Mimi ni CCM lkn kwa hili hapana tuwe wakweli kuna sehemu tunachemka kama chama
 
Jiulize kwanza Mh Lissu ilikuaje akawa huko Ughaibuni kwa matibabu?? Ukiweza kushirikisha ubongo wako sawasawa basi jibu utakalopata litatosho kuonyesha ulichoandika ni "upupu mtupu"
 
Bora wasingelimmiminia zile mvua walishindwa kumpuuza ona sasa amekuja kivingine
 
Alizarau watumishi wa umma atajielezaje?
 
UnaUngumzia mabeberu Wapi....Hawa walio tupa Uchumi wa Kati au!?
 
Mchana mnawaita mabeberu halafu usiku mnawapigia magoti kuwaomba noti. Mnatia hasira sana nyie
 
Ni kawaida mbuzi jike kumuogopa beberu
 
Alizarau watumishi wa umma atajielezaje?
Kwa.taarifa yako watumishi wa umma wote walikwisha ongezwa mpunga kimyakimya kitambo sana ,kalagha bhaho wewe kapuku,ndio maana huwa wapo kimya na hakuna migomo ,kadhalika wanafunzi wa vyuo vikuu kuhusiana na mikopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…