Uchaguzi 2020 Kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais ni kuikabidhi Tanzania kwa Mabeberu. Tusifanye kosa twende na John Pombe Magufuli

Labda muende naye chato na sio ikulu.
 
System gani uliyoimaanisha ambayo haiwezi kukubali kukabidhi nchi kwa atakayeshinda?
 
Hoja ya kitoto sana ijapo mimi Lissu si chaguo langu na sijui kama anaweza kuwa na hoja nzito.

Hizi hoja za kuwafanya watu wajinga zinaudhi sana.
 
Beberu ametujengea flyover ya ubungo,ametutwngenezea ndege,ametujengea barabara lukuki,ameajiri watanzania wa kumwaga kwenye donor funded programs,anatupatia ARV,anachangia budget yetu.Kwa hiyo mtu mwenye akili timumu hawezi akamuacha beberu then akachagua zulumati,mwizi,muuwaji na lopolopo
 
Huu sasa ni utani. Kabisaaa Watanzania wamchague Tundu la Sindano kuwa Rais. Siku hiyo hadi wa Baharini watatucheka, na tutaonekana tumelewa amani.
 
Makinikia yalifikia wapi vile?
 
Huu sasa ni utani. Kabisaaa Watanzania wamchague Tundu la Sindano kuwa Rais. Siku hiyo hadi wa Baharini watatucheka, na tutaonekana tumelewa amani.
Kwa hiyo mmepanga kuiba uchaguzi?
 
Mwanzo wa mwisho wa mkoloni mweusi ndio huu! Kwa uchaguzi wa mwaka huu? Aaah Lumumba lazima mjambe cheche!
 
mara elfu kushirikiana na mabeberu watatuletea shibe kuliko hawa wasukuma watatusomesha namba again
 
Tufafanulie MABEBERU ni watu wa namna ipi na WAHISANI wa maendeleo ni watu gani?

Je Sisi watanzania tutawatofautishaje? yaani BEBERU na MHISANI? Je ni kwa rangi ya ngozi yake, sehemu anayotoka ama ???

Tetea hoja yako kwa mifano hai
 


Mkataba wa bandari Bagamoyo ulifanya na Chadema!
 

Kila mtu ashinde mechi zake unawashwawashwa na Nini? ballot box ndo mpango mzima zingine kelele za chura.
 
Tutaona, over me dead body, mtapigwa, mtafyata mikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…