Kumchezesha abdulrazak ilikuwa ni risk

Kumchezesha abdulrazak ilikuwa ni risk

Sure hata kagoma alikuwa hajapona vizuri. Kocha inamlazimu kufanya ivo coz hatuna mbadala wa hao watu wenye quality inayolingana though chamou alianza vizuri sana nadhani benchi limemfanya apoteze confidence na match fitness nadhani akizima mechi kadhaa anaweza kuwa vizuri.
 
Swala sio kutokuwa na mbadala bali ni mbinu sahihi kocha wenu hakuwa nayo. Gamondi anaenda kukutana na timu ambayo kila mmoja alikuwa anaihofia lakini kakosa wachezaji watatu tegemeo ( Aucho,. Pacome na Yao) lakini aka switch mbinu kulingana na aina ya nyenzo alizonazo. Kuna wachezaji walikuwa wamepata nafuu kucheza ila kocha akafanya maamuzi magumu ya kuto risk mchezaji kwa mechi moja.
 
Hapo Gamondi nilimnyooshea mkono, na Mkude akala mkataba.
 
Yaani siku hiyo nikikumbuka, niliangalia line up tu moyo ukashtuka mno nikampigia simu jamaa yangu mmoja ambaye ni mpenzi wa Yanga ila hana simu janja kujua kikosi kilivyo. Nilivyomwambia akasema "mama yangu leo tutatia aibu" basi kukawa na akili mbili moja inaniambia kalale tu maana tutafungwa magoli mengi sana kwa kikosi hiki. Halafu akili nyingine ikaniambia ni bora niangalie nijue tumefungwaje ili nijue madhaifu ya timu yangu. Sikuamini hadi dakika 90 vile Gamondi na wachezaji walivyoiendea ile mechi, alini surprise sana aisee
 
Yule ni master haswa.
 
Camara, Kayoko, Ateba now Fadlu and the technical team. Tunasubiri lawama kwenda kwa Ahmed Ally na mashabiki......Endeleeni kushusha lawama kila sekta sisi tunaendelea kugonga supu mwanawane...😀😀😀

Ahsante sana Yanga!
 
Yaani siku hiyo nikikumbuka, niliangalia line up tu moyo ukashtuka mno nikampigia simu jamaa yangu mmoja ambaye ni mpenzi wa Yanga ila hana simu janja kujua kikosi kilivyo. Nilivyomwambia akasema "mama yangu leo tutatia aibu" basi kukawa na akili mbili moja inaniambia kalale tu maana tutafungwa magoli mengi sana kwa kikosi hiki. Halafu akili nyingine ikaniambia ni bora niangalie nijue tumefungwaje ili nijue madhaifu ya timu yangu. Sikuamini hadi dakika 90 vile Gamondi na wachezaji walivyoiendea ile mechi, alini surprise sana aisee
Ile match na Mamelody kwa Mkapa nilikuwa Uwanjani kikosi kilipotoka badae nikaja kumuona Pacome kavaa kawaida yupo juu yetu VIP A nikajiuliza nisepe home nini baadae nikatuliza akili nikabaki uwanjani.
 
Ile mechi kila mshabiki wa Yanga alikuwa na mashaka nayo sana hasa baada ya kikosi kutoka
 
Back
Top Bottom