Maana yakeHahahaaa!! Me mwenyewe na jua kikorea "dongsullichadong kangsokailljumae punkjin"
Hahahahaha kwl kbsaKweli wanawake wanahadaika kirahisi sana, hasa wale wanaopenda awe na boifredi mwenye usafiri, yaani wakati mwingine anamuona kabisa huyo boifrendi ana gari pembeni ina nembo ya VODACOM lakini akimwambia hili ni gari langu anamuamini na tena anaringia wenzio utamsikia: MWAYA BEBI WANGU SIKU HIZI AMENUNUA USAFIRI WAKE
Anatafuta mke wa kuoaMaana yake