Shikamoo😎😂😂boss mtoto..asante sana kwa kunikumbuka...!
Kuwa hivyo hivyo spichilesi...💃💃
Utajibeba.Mfyuuuuu makao makuu dodoma???[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaa " dah " watoto wa siku hizi mnashida sana"Natuma salama kaka yangu Ukwaju bila kumsahau mdogo wangu Hearly.
marahabaaaaaaaa!hajambo mama😂Shikamoo😎
Salamu zangu ndugu mtangazaji naomba ziwafikia demiss, mzigua,manengelo,mzigua,mwifwa, malcom,mshana mzee wa tunguli
Sent using Jamii Forums mobile app
Naongezea na hawa
Hapo kwa izzo nakupa big upNaongezea na hawa
izzo Bukyanagandi Prof chige Jolie Jolie rubii zitto junior Kiranga nyabhingi
Ujumbe: Michango yao muhimu JF.
Mimi natuma salamu za shikamoo kwa Dada zangu..
Khantwe
manengelo
espy
cute b
Narudi kuongeza list.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh jamaniii..hii ni kama bed&breakfast kwangu...yay[emoji7][emoji7][emoji7]chaaante kimuchiii[emoji12][emoji12][emoji12]
Hahaa Ki-muchi usinivunje mbavu aise... lol
YOU know " nakukosa right !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Save the date "kin-ki" ni next week[emoji6][emoji6]
Nawazoom tu chaaaaa