Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Wasiwe watekaji wa DAB tuu woiiiHahhaha ametekwa na mtekaji
unaonekana una nyota ya kutembea na mama zako ww
Tsap???Yente sana arif. Cheki kule kuna review nimeifanya
[emoji26][emoji26]
YeahTsap???
[emoji26][emoji25]
Nimetonesha jeraha[emoji126][emoji126][emoji126][emoji26][emoji26]View attachment 1013948
Uzuri wa JF sote ni age mates, ila kiuhalisia siyo kabisa.
Naomba niishie hapo, ila utakuwa umenielewa.
Hapana hamna ruhusa[emoji13][emoji13]Usijali dogo, hiyo ni nafasi yako kabisa na hakuna wa kuibadili.
Kuna mafunzo dada yako huyu anaenda kuongeza ujuzi, nimemwambia niko tayari kutumika kwa ajili ya practical, kasema mpaka umpe go ahead.
Cc manengelo
πππππππ
ππππππnimekupata mzee baba
ziendelee tuHahaha, sawa sawa.
Salami ziendelee.