Kumega au kumegwa mwezini

Samahani story yako nzuri inafundisha ila uandishi wako kama wewe mwanaume?
 
Vitu vingine viwe vinafikiliwa kwanza kabla ya kuwekwa hadharani!!!

Naam siyo kila swali linastahili kuletwa hapa wakati mwingine ni kutumia common sense tu...but common sense is not common....aahh! Kazi kweli kweli!
 
.jamaa alifyonza alifyonza kisha akamaliza gemu kama tunavyojua..asubuhi kutokana na pombe na uchovu wa gemu akachelewa kudamka ,....

we lazima utakuwa mwanaume tu alafu si mama wa mchungaji jina lako na story zako zipo tofauti naona unapenda sana kamchezo ka kungonoka.
 
Samahani story yako nzuri inafundisha ila uandishi wako kama wewe mwanaume?

we lazima utakuwa mwanaume tu alafu si mama wa mchungaji jina lako na story zako zipo tofauti naona unapenda sana kamchezo ka kungonoka.

magreti thinka yako aptudeti. ok acha tuskilize upande wa mshtakiwa unasemaje?, enitaimu mama mchungaji anaweza akapelekwa lupango la JF.
 
Naam siyo kila swali linastahili kuletwa hapa wakati mwingine ni kutumia common sense tu...but common sense is not common....aahh! Kazi kweli kweli!

Leo umeongea bonge la point acha nikupe THANKS 2 na ingine nimegonga pale.
 
😕ama kweli!!!!!
ukisema kamchezo nakapenda haukosei...ndio nakapenda..wewe je? asiyekapenda anyoshe aseme nimuone...anaza thing..umama mchungaji ni pamoja na kuelimisha watu waachane na mambo machafu..hicho ndo nachofanya...kuhusu uandikaji wangu, kama ulinisoma mwanzoni nilisema hio story nilisimuliwa so i waz just coping how the guy was telling that story...ningetumia maneno yangu ..ningewaboa...i like yo respond coz inaonyesha nimefaulu kwa hilo..lastly, mi ni mwanamke kama mtakua mnafwatilia maongezi yangu kwa kina... nawapenda wote..
magreti thinka yako aptudeti. ok acha tuskilize upande wa mshtakiwa unasemaje?, enitaimu mama mchungaji anaweza akapelekwa lupango la JF.
 
kesi dissmiss! endelea na mada.
 
Mungu alipoweka hizo siku 3-5 kwa mwanamke, alikuwa na makusudi yake kwamba mwanamke apumzike, u can do it 4 28 days, then mwanamke anapumzika, au mpaka cuma itoe cheche!!!.
 
Mungu alipoweka hizo siku 3-5 kwa mwanamke, alikuwa na makusudi yake kwamba mwanamke apumzike, u can do it 4 28 days, then mwanamke anapumzika, au mpaka cuma itoe cheche!!!.[/QUOTE]

YESU NA MARIA NA YOSEFU
 
Jamani, vp tena?

Mungu alipoweka hizo siku 3-5 kwa mwanamke, alikuwa na makusudi yake kwamba mwanamke apumzike, u can do it 4 28 days, then mwanamke anapumzika, au mpaka cuma itoe cheche!!!.
 
Masahihisho, anachotoa mwanamke wakati akiwa mwezini SIDAMU na haina uhusiano na DAMU
 
sasa ni nini? tuweke wazi...
uchafu unaotoka kwenye ukuta wa mfuko wa uzazi ukichanganyika na mayai yaliyopevuka lakini hayakurutubishwa.
 
uchafu unaotoka kwenye ukuta wa mfuko wa uzazi ukichanganyika na mayai yaliyopevuka lakini hayakurutubishwa.
mayai mbona yanaanguliwa baada ya hapo? ss hayo ni mayai gani?
 
mayai mbona yanaanguliwa baada ya hapo? ss hayo ni mayai gani?
ya kike!. yanakua yako tayari kurutubishwa kutunga mtoto, sasa kama mbegu za kiume hazitafika katika kipindi hicho basi yanatoka kama wastes.
yanatengenezwa tena kutokana na mzunguko wa hedhi, mkuu bios reproduction ulisepa nini??
 
mimi navyojua ni kwamba damu inatoka kwanza kisha ndio mayai yanaanguliwa, au sivyo? sasa wewe ulisema ile damu ni mayai ambayo hayajaanguliwa...sasa ni mayai gani hayo?
 
Hi,
Kuna madhara gani ya kumega au kumegwa wakati 'mamsapu' akiwa mwezini (ndani ya zile siku 3-5 za rangi nyekundu)....

Unazungumzia uncle kadu au....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…