Nalilia Wanangu
New Member
- Jan 23, 2019
- 2
- 2
• Kumeibuka wimbi la ujenzi wa ICD usioratibiwa katika jiji la Dar
• Wilaya zilizoathirika zaidi ni Temeke (kuroka Mbagala hadi Kurasini) na Kigamboni
• Nyingi zimejengwa katika makazi ya watu kwa kununua baadhi ya wenye nyumba kwa udalali wa Serikali za mitaa
• Uchafuzi wa mazingira kwa sauti za kuyapanga na kupakia ni kero kwa wanaoishi kihalali eneo la makazi linalopakana na eneo la makazi lililogeuzwa kinyemela kuwa ICD
• Madalali (Serikali za mitaa) hufanikisha kwa kutishia kuwa usipokubali kumuuzia muwekezaji utanyanganywa kwa "Amri kutoka juu"
Ishu:
• Ni kweli tunahitaji ICD zote hizi?
• Kama twazihitaji, zijengwe kwa msukumo wa wasekezaji badala ya kuratibiwa na Serikali
• Je Serikali za mitaa zina uwezo wa kufanya maamuzi ya mipango miji?
• Je serikali inapohusika na udalali kupitia serikali za Mitaa, mwananchi anayekereka atapata wapi msaada?
• Mipango miji inaratibu ujenzi wa nyumba za ibada na za burudani pekee au hata ICD?
• Msukomo wa Serikali kudhibiti uchafuzi wa mazingira kwa nyumba za ibada na nyumba za starehe kwanini usidhibiti hizo kelele za ICD zinazozidi kushamiri sehemu za makazi jijini Dar es Salaam?