Kumeibuka wimbi la wadada wa Instagram kuwa na mafanikio ya haraka hii imesababishwa na nini?

Joined
May 29, 2025
Posts
35
Reaction score
54
Hello.

Kumeibuka wimbi la wadada wengi mjini Instagram kuwa na mafanikio ya haraka sana.

Umaarufu mdogo ndani ya mwaka mmoja au hata miwili unakuta tayari anamiliki gari nyumba bila kuwa na biashara wala shughuli ya kueleweka.

Je nini kipo nyuma ya pazia wakuu.
 
Acha kuuliza maswali ya kitoto watu wana biashara zao private kabisa sio lazima wewe uzione au uonyeshwe
 
Mama amemwaga pesa mtaani ni wewe Tu kujua zimemwagika wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…