Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

Uzuri wa USA yuko kimaslahi, nyie mnaenda kupeleka umbea wenzenu wananunua chanjo, Symbioni inarudi kazini...hizo kelele zenu hawawezi kuzisikia..... hamuon Rwanda, Uganda na pale Saudia kwa MBS..
Maslahi gani US anapata kwa Tanzania? Hata hivyo ni juu ya hao cdm kutumia njia zote kuhakikisha hawaendelei kuonewa na chama kinachotegemea vyombo vya dola kufanya siasa.
 
 
KWA HIYO UNAONA UNAFUU WA MATOKEA UPO HAPO KWENYE KUCHUKUA MIAKA?
 
Huwezi kuwa huru kwa kila kitu Kama bado unaishi kwa wazazi. Ukiweza kujitegemea kwa kila kitu hapo Ni kweli upo huru. Sijui Kama umenielewa kweli
Kwa maneno yako hakuna nchi ya kiafrika iliyo huru....

Kwa hiyo tuusubiri huo UHURU ili tuanze KUPUMUA NA KUISHI?!!!
 
Afadhali wao wanawafanya kitu kuliko wengi wetu tumekaa tu kusubiri mabadiliko walete wengine halafu sisi twende kufaidika.

Wengine barabarani na hata kusema kwa fake ID tu nayo ni full ukondoo:


Hawako tayari kulipa gharama yoyote ila wanataka matunda.

Kutwa kulalama kuona makosa fulani kakosea hiki fulani kakosea kile. Ila wao marafiki wa shetani na Mungu muda huo huo.
 
Natambua hilo...

Ni kweli....

Marafiki zetu hao....wadau wetu wa maendeleo hao....

Na kesho panapo uzima ninalipeleka BEGA LANGU kuchomwa msaada wao wa J&J......

TANZANIA IS A SOVEREIGN NATION

#KaziIendelee
#JMTMilele
#SerikaliMbiliMilele

Sovereignty does not include persecution of citizens. Very simple mathematics.
 
Sisi wengine ni miongoni mwa wawezeshaji


 
Vipi mtaendelea kumporomoshea matusi ya nguoni kama kawaida yenu au mmeshajifunza adabu???
Sio msimamo wetu Chadema kuporomosha matusi, ila tutofautishe matusi na "freedom of speach" mimi binafsi ni muumini wa kukosoana kwa kwa staha kama Raisi wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan alivyotushauri.

Kitendo cha Speech ya Mdude Nyagali kuhusu 'Wembe uleule' ukikiangalia hakikuwa na maana yeyote ile zaidi ya kuonyesha ghadhabu zake dhidi ya Utawala uliopita.

Ningependa Viongozi wetu wa Chadema wawe wana angalia nani wa kumpa Mic ili tusije tukawapa sababu viherehere wa CCM na kutuchonganisha na Watanzania kusema kuwa Cdm kumejaa wahuni.
 
Afadhali wao wanawafanya kitu kuliko wengi wetu tumekaa tu kusubiri mabadiliko walete wengine halafu sisi twende kufaidika.

Wapo wanaoogopa kutokea popote. Iwe barabarani au hata kwa kutumia fake ID tu:


Hawako tayari kulipa gharama yoyote.

Wanataka matunda tu, wanataka kula yaani mlo, lakini si kushiriki kwenye kuyatafuta matunda wala mlo huo.

Hawako tayari kuchafuka kwa lolote bila shaka ni kwa sababu wana malengo ya kujipanga na yule atakayeibuka mshindi iwe ni Mungu au Shetani.

Pana haja ya kuwashauri watu hao kupumzika au kuhamia Lumumba. Pana haja ya kuwafahamisha pia kuwa ushauri na hata mawazo yao wanaweza kubakia nayo tu.
 
wa
wataal wa kutumia platform za ndani na za nje👍👍
 
swadakta
 
Natambua hilo...

Ni kweli....

Marafiki zetu hao....wadau wetu wa maendeleo hao....

Na kesho panapo uzima ninalipeleka BEGA LANGU kuchomwa msaada wao wa J&J......

TANZANIA IS A SOVEREIGN NATION

#KaziIendelee
#JMTMilele
#SerikaliMbiliMilele
mtakubali tu
 
Museven hapo Uganda wapinzani wake wamelia hadi ikulu ya Marekani sembuse hapo ubalozini?

Usichokijua ni kwanba hii ni nchi siyo kikundi cha vicoba!
EeeenHeee,
Kwa hiyo CCM inagezea kwa M7, na kudhani hata yenyewe itapata mafanikio kama hayo unayodhani M7 ameyapata?

Hizi ndiyo akili zenu za kijinga hasa!

Huwezi kutenda maovu kwa vile mwingine anayafanya na yanamfanya aonekane anapata mafanikio na wewe ukadhani utaonekana katika hali hiyo hiyo.

Kama bado huelewi, nakuhimiza; tafuteni mbinu zingine za kuwabakisha madarakani, hizi za kulazimisha na kuwaumiza waTanzania zinaonekana wazi sasa kwamba hazitaweza kuwavusha.
 
Kenyatta wa bunju,
 
Ila sania kajisiriba kinyesi in less than 101 days she is gone ataanza kulialia kama mwenda zake kwa nini watanzania hawampendi yaani kelele tuza wananchi zitamfanya awe kama kilema wa akili ukimuangalia leo na jana ameshaanza kupwaya anachosema anaonekana nitapeli la kisiasa kama magufuli tu
 
Yaani samia ni hamnazo kabisa magufuli alikuwa anatambia kabila lake lakini hakufua dafu akakonda akawa kama kijiti huyu pamoja na kuiba kura serikali za mitaa na uchaguzi mkuu akakosa amani ya roho huyu kigagula na zanzibar yake na huyo mkwewe watalia sana maana resistance ataipata zaidi ya magufuli a wicked step mother a satan in making
 
Magaidi yana umoja sana
Kama yalivyo majambazi. Ugaidi una visababishi vingi, mathalani uongozi mbaya wa nchi usiozingatia haki na usawa, huu hupelekea ugaidi. Tukija kwa majambazi hakuna sababu yoyote inayoweza kujustify ujambazi! Marehemu pombe alikuwa jambazi mbaya sana kuwahi kutokea, alikuwa na vijambazi vidogo vidogo alivyokuwa anavituma kukwapua kwa businessmen. Mungu kamtandika bakora jambazi pombe, vimebaki vijambazi vyake vidogo vidogo vinanyea debe kisongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…