Kumekucha! Daktari asema Wanaume wengi wanaougua UTI huwa wanawaingia wenzao Kinyume au Wao huwa wanaingiliwa huko

Kumekucha! Daktari asema Wanaume wengi wanaougua UTI huwa wanawaingia wenzao Kinyume au Wao huwa wanaingiliwa huko

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Akizungumza muda si mrefu katika Kipindi cha DADAZ Kinachorushwa na EAtv Kipengele cha MTU KATI Daktari Romana Malikusema ametoa Kali na ambayo nadhani sasa itatufanya Wanaume wengi tuanze Kuangaliana mara mbili mbali baada ya kusema kwamba Wanaume wengi wanaougua Ugonjwa wa UTI huwa ama wanakuwa wanapenda Kuwaingilia wenzao Kinyume na Maumbile au Wao wenyewe pia huwa Wanaingiliwa huko Mafichoni / Nyuma na Wanaume Wenzao.

Kwa wiki iliyopita kuna ‘ Washkaji ‘ zangu wawili walikuwa wanasema wametoka Hospitali na wamegundulika kuwa na UTI hivyo kama nikisema niamini huu ‘ Utaalam ‘ wa Daktari Malikusema ina maana kumbe sina Washkaji / Marafiki Marijali na Wema kabisa nap engine ni wakati muafaka sasa kuangalia uwezekano wa Mimi Kusitisha Urafiki wangu nao.

Namshukuru Mwenyezi Mungu kuwa hadi Umri wangu huu sijawahi Kuugua Ugonjwa huo wa UTI. Haya Dada zetu muanze sasa Kuwaangalia kwa Jicho la Tatu Waume na Wapenzi wenu hasa pale wakiwa wanawaambia kuwa wana tatizo la UTI kwani tayari Daktari Romana Malikusema ameshamaliza Kila Kitu.

Kumekucha!

Nawasilisha.
 
Hayo yatakuwa mawazo yake binafsi sio msimamo wa matabibu

Mkuu vipi uko njiani nini sasa hivi kuelekea Kutibiwa UTI Hospitali ya Jirani hapo? Pole sana na Mimi binafsi nimemuamini huyo Daktari tena kwa 100%. Mwanaume Rijali kamwe huwezi / hawezi Kuugua UTI.
 
Ni kweli asilimia kubwa ya wanaoingia huko nyuma hata kuingia nyuma kwa mwanamke hupata UTI, na maambukizi mengine kiurahisi zaidi. Wana nafasi kubwa ya kuungua magonjwa ya kibofu cha mkojo na figo.

Kutifua mitalo si kitu kizuri
 
Vipi kuhusu watoto wadogo wa kiume wanaougua UTI, Dr alisemaje kuhusu hilo

Watoto wengi hupata UTI kwa uchafu. Hasa wakijisaidia na kukaa na kinyesi muda mrefu bila kubadilishwa pampers/nepi. Kama wasipooshwa vizuri huko chini. Hii ni kwa wadogo kabisa. Wa saizi ya kati wengine hupata maambukizi chooni au sehemu chafu au kuvalishwa nguo mbichi/zenye unyevu.
 
Vipi kuhusu watoto wadogo wa kiume wanaougua UTI, Dr alisemaje kuhusu hilo
UTI kwa watoto wadogo inajulikana Mara nyingi Ni uzembe wa mama au mlezi, Mtoto akijisaidia anatakiwa abadilishwe nguo ya ndani haraka Sana, lakini utakuta mtu anasubiri amalize kazi zake zote ndio ambadilishe au anamvua nguo Mtoto anabaki anacheza uchi muda mrefu mivumbi na uchafu mwingine ni rahisi kumwingia mtoto hicho ndicho ninachokijua kwa watoto wote awe wa kike au wa kiume
 
Siku hizi magonjwa mengi yanayoambukizwa kwa njia ya kufanya ngono yamepunguzwa makali na kuitwa UTI.
Niliwahi kutwa na UTI nikaambiwa nimtibie na mwenza niloshea nae hapo hapo nikatambua sio yutiai hii ya kawaida.
 
NIMESOMA HUU UZI IKABIDI NIKAGOOGLE HARAKA NIJUE SABABU ZA U. T. I KWA WANAUME NIKAGUNDUA HUYO DR WA DADAZ AMEAMUA TU KUTUTISHA WANAUME NA KUUNGA MKONO KAMPENI YA MHESHIMIWA.
 
Mkuu vipi uko njiani nini sasa hivi kuelekea Kutibiwa UTI Hospitali ya Jirani hapo? Pole sana na Mimi binafsi nimemuamini huyo Daktari tena kwa 100%. Mwanaume Rijali kamwe huwezi / hawezi Kuugua UTI.
Mkuu, ina maana HUWEZI KUPATA UTI kwa kumgegeda bibie mwenye UTI???
 
Nijuavyo mimi UTI kwa mwanaume inasababishwa na Bacteria walioingia kwenye njia ya kibofu cha mkojo au uume toka sehemu nyingine za mwili. Inaweza ikawa hiyo ya kugegeda Tigo utaingiza uchafu wa kinyesi ambacho kina bacteria (E.coli). Au wengine Wasiotahiriwa wanaweza kupata kutokana cha uchafu. Pia njia nyingine ni kwa kuambukizwa kwa kusex na mwanamke mwenye UTI, Au kwa kuvaa nguo ya ndani chafu, hii pia uwatokea watoto.
 
Back
Top Bottom