kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Kocha wa timu ya Wartford bwana Javi Gracia amefukuzwa kazi baada ya kuiongozo timu hiyo kupata alama moja kwenye ligi kuu ya England ,maarufu EPL hata hivyo uongozi wa klabu hiyo imemtangaza ndugu Sanchez Flores kuwa kocha mkuu wa timu hiyo