OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Ampuuze tu huyo
Narudia tena kusema Kumekucha je niseme nisiseme? Nasubiri ruhusa yenu tafadhali.
Nawakilisha.
Acha uchuro!
Bado hatujakuelewa nduguBahati nzuri huyo aliyeuanzisha huo uzi tayari ameshakula BAN / Umeme. Mpeni pole sana huko aliko mapumzikoni na mwambieni GENTAMYCINE naendelea zangu tu kutiririka na kuserereka na Mtandao wangu pendwa wa JamiiForums kwa raha zote.
Bado hatujakuelewa ndugu
Haya sasa wote mpo tayari Mwanamume nifunguke sasa hivi? Naomba kila Member wa JF popote alipo sasa kama anaijua ID ya Rafiki yake au Mtu yoyote amuamshe haraka kwani nataka nikikiandika hapa hicho kitu kila mmoja akipate usiku huu huu. Ni kitu ambacho Kitatikisa na yawezekana hata wana Mtandao wa JF nanyi mkashangaa na kushindwa kuamini macho na masikio yenu. Amshaneni upesi na hakikisheni wote mkiwa tayari mnaniambia. Nawapeni dakika 45 tu kutoka sasa nyote muwe mmeamka na ikifika Saa 6 Kamili usiku huu naweka mambo hadharani.
Tunasubiri break newsMbona hata Mimi sijakuelewa hiki ulichokiandika Mkuu?