Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wataingia kwenye civil war! Kumbe Uhuru alikuwa muuaji, ICC haikufanya kazi yake vizuri.Raila kiongozi wa chama cha upinzani NASA amedai serikali ya Kenya imewapiga marufuku yeye na mgombea mwenzake Kalonzo Kusafiri Kwenda nje ya Kenya. Ulinzi wa viongozi hao uliondolewa wiki iliyopita.
Raila sikio lilizidi kichwa! Ngoja aadabishwe then akamsimulie mshikaji wakeRaila kiongozi wa chama cha upinzani NASA amedai serikali ya Kenya imewapiga marufuku yeye na mgombea mwenzake Kalonzo Kusafiri Kwenda nje ya Kenya. Ulinzi wa viongozi hao uliondolewa wiki iliyopita.
Umeona! Kwa hili wako kimya!Sisikii comment za Chadema
Duh.Sisikii comment za Chadema
Tunawataka CHADEMA waendelee kumsifia.Hawa wataingia kwenye civil war! Kumbe Uhuru alikuwa muuaji, ICC haikufanya kazi yake vizuri.
Alianza vizuri, tena sana, amebadilika ghafla kumbe alikuwa haramia amejificha. Kutengua urais, basi dikiteita mkubwa tu!Tunawataka CHADEMA waendelee kumsifia.