Kumekucha Kenya Raila na Kalonzo Marufuku Kusafiri Kwenda

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
Raila kiongozi wa chama cha upinzani NASA amedai serikali ya Kenya imewapiga marufuku yeye na mgombea mwenzake Kalonzo Kusafiri Kwenda nje ya Kenya. Ulinzi wa viongozi hao uliondolewa wiki iliyopita.
 
Raila kiongozi wa chama cha upinzani NASA amedai serikali ya Kenya imewapiga marufuku yeye na mgombea mwenzake Kalonzo Kusafiri Kwenda nje ya Kenya. Ulinzi wa viongozi hao uliondolewa wiki iliyopita.
Hawa wataingia kwenye civil war! Kumbe Uhuru alikuwa muuaji, ICC haikufanya kazi yake vizuri.
 
Embu kwanza tupe chanzo cha habari tukipitie kabla hatujachangia.
 
Raila kiongozi wa chama cha upinzani NASA amedai serikali ya Kenya imewapiga marufuku yeye na mgombea mwenzake Kalonzo Kusafiri Kwenda nje ya Kenya. Ulinzi wa viongozi hao uliondolewa wiki iliyopita.
Raila sikio lilizidi kichwa! Ngoja aadabishwe then akamsimulie mshikaji wake
 
Afrika bure kabisa. Naona wameanza kufanya marekebisho ya sheria ya uchaguzi
 
Kindly unveils the source of information please,from there we can put forward our comments!
 
Sawa kabisa...huwa wanachochea watu halafu hao...wanatimka wanaacha watu wanakatana mapanga..sasa na wao wabaki hapo hapo ili huo moto wanaotaka kuuwasha ukiwaka..waonje joto lake
 
"Mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba" na bado wahenga wakasema tena, "Mchuma janga hula na wakwao!"
 
wamepewa uhuru wameshindwa kuutumia anamuona uhuru fala sasa hakuna kubembelezwa atanyooshwa hataamini
 
Raila anajua kabisa hawezi kumshinda kenyatta sasa anatengeneza mazingira ya fujo ili awe waziri mkuu... mwenzake katulia sasa shobo zimekua nyingi
 
Katiba bado ina matatizo. Ilitakiwa rais aachie ngazi kabla ya uchaguzi na jeshi lishike nnchi. Africa ya Giza hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…