Asante kwa kunisaidia. Ni huyo Mwalimu anayelalamikiwaAnaitwa Zotto,bahati mbaya najua jina moja,ni muhitimu wa Udsm,alishafanya kazi Green acres,udsm udom, pia st john dodoma akafukuzwa hapo then Teku nako ameleta timbwili tena,mfupi iv na mtu wa sifa sn na matusi kwa sn