GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na pia kuna Sharti moja Muhimu sana leo Limekiukwa pale katika Press yao na Wakagombana katika Gari. Kudadadeki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama Debora FC hawakukupa zile hela ili uwanunulie wachezaji huko Uganda kama ulivyotaka basi msahau kuhusu ushindiNa pia kuna Sharti moja Muhimu sana leo Limekiukwa pale katika Press yao na Wakagombana katika Gari. Kudadadeki.
Tuendelee kuishukuru Serikali kwa kujenga Hospitali ya Vichaa pale Dom.Na pia kuna Sharti moja Muhimu sana leo Limekiukwa pale katika Press yao na Wakagombana katika Gari. Kudadadeki.
Unanikumbusha jamii ya kujizima dataTuendelee kuishukuru Serikali kwa kujenga Hospitali ya Vichaa pale Dom.
Mkuu soka ni sayansi na wala si ulozi, ramli ama ushirikina. Hakuna namna, Makolo ni lazima wakae mkao wa kupakatwa tu.Na pia kuna Sharti moja Muhimu sana leo Limekiukwa pale katika Press yao na Wakagombana katika Gari. Kudadadeki.
Na pia kuna Sharti moja Muhimu sana leo Limekiukwa pale katika Press yao na Wakagombana katika Gari. Kudadadeki.
Walipotupiga Tano kafara gani walitoa?Na pia kuna Sharti moja Muhimu sana leo Limekiukwa pale katika Press yao na Wakagombana katika Gari. Kudadadeki.
Swali zuriWalipotupiga Tano kafara gani walimtoa?
😆😆Na pia kuna Sharti moja Muhimu sana leo Limekiukwa pale katika Press yao na Wakagombana katika Gari. Kudadadeki.
Kulikua na maduka.Walipotupiga Tano kafara gani walitoa?
Kumbukizi mpwaaNa pia kuna Sharti moja Muhimu sana leo Limekiukwa pale katika Press yao na Wakagombana katika Gari. Kudadadeki.
OkayKulikua na maduka.
AahaaaaTuendelee kuishukuru Serikali kwa kujenga Hospitali ya Vichaa pale Dom.
Ili ikawatibu WENDAWAZIMU, WAPUMBAVU na WAPIGA MILUZI / WABINUA MICHANGA ambao Kutwa wanajua WANAMCHUKIA na HAWAMPENDI GENTAMYCINE hapa JamiiForums lakini bado tu hawaachi Kumfuatilia kwa kila Kitu. Kudadadeki.Tuendelee kuishukuru Serikali kwa kujenga Hospitali ya Vichaa pale Dom.
Upumbavu mwingine katika soka huu hapa.Na pia kuna Sharti moja Muhimu sana leo Limekiukwa pale katika Press yao na Wakagombana katika Gari. Kudadadeki.
Upumbavu ambao umesomwa na kujibiwa na Mpumbavu.Upumbavu mwingine katika soka huu hapa.